WAHAMIAJI HARAMU 105 WAKAMATWA TABATA SEGEREA JIJINI DAR ES SALAAM

Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam asubuhi wamekamata Wahamiaji haramu wapatao 105 katika eneo la Tabata Segerea Wilaya ya Ilala jijini Dar es salaam  baada ya kupata taarifa kutoka kwa wasamaria wema                                                         Polisi walizunguka nyumba hiyo tangu alfajiri na hatimaye kutumia utaratibu wa kisheria kuingia Katika nyumba hiyo na kuipokuwa ndipo walipokutwa watu 105 wanaume na iligundulika kwamba wanatoka nchini Ethiopia

Share on Google Plus

About GLORIA MATOLA

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
Chapisha Maoni

Watch the Video Here

Loading...
Inaendeshwa na Blogger.

Wanaofuata

Google+ Followers

TANGAZO

My Blog List