KATIBU MKUU WIZARA YA AFYA AMEPOKEA MSAADA WA VIFAA TIBA MSAADA KUTOKA SHIRIKA LA UMOJA WA MATAIFA LA KUHUDUMIA WATOTO UNICEF

Katibu Mkuu Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii Dr Donan Mbando amepokea Vifaa tiba vyenye thamani ya dola za Kimarekani laki moja, sawa na takribani shilingi za Kitanzania milioni Mia mbili na tatu kutoka Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto UNICEF                                                       Vifaa hivyo vimetolewa katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili Dar es salaam kwa ajili ya kupunguza vifo vya Watoto takribani elfu moja

Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 comments:

Inaendeshwa na Blogger.

Wanaofuata

TANGAZO

My Blog List