VIJANA UVCCM KINONDONI

Umoja wa Vijana wa chama cha Mapinduzi Wilaya ya Kinondoni Dar es Salaam wamempongeza Rais John Pombe Magufuli pamoja na Waziri mkuu Kassim Majariwa kwa hatua ambazo wamekuwa wakichukua dhidi ya watendaji wabadhilifu                                                         Wamesema hatua alizochukua Rais Magufuli na waziri mkuu wake ni za Kishujaa kwa kuwa wamegusa maslahi ya watu, hivyo wanahitaji kuombewa na ushirikiano kutoka kwa wananchi

Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 comments:

Inaendeshwa na Blogger.

Wanaofuata

TANGAZO

My Blog List