U.W.T WAMPONGEZA RAIS MAGUFULI

Umoja wa Wanawake wa Chama cha Mapinduzi U.W.T  Mkoa wa Dar es salaam wamempongeza Rais Magufuli kwa uwajibikaji wake na utendaji kazi kwa kupiga vita mafisadi na wakwepa Kodi                                Rais Magufuli amefananishwa na hayati Baba wa Taifa Mwalimu Julias Kambarage Nyerere. kwa ufuatiliaji wa mambo kwa ukaribu na kuwawajibisha viongozi wazembe                                                                    Janeth Masaburi ni mwenyekiti wa U.W.T Mkoa wa Dar es salaam amewataka Watanzania bila Kujali itikadi za vyama. Kabila au dini kwa kushirikiana na watendaji wa Serikali Kwa pamoja kutoa ushirikiana na watendaji wa Serikali kwa pamoja kutoa ushirikiano wa dhati kwa kuleta maendeleo ya Taifa

Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 comments:

Inaendeshwa na Blogger.

Wanaofuata

TANGAZO

My Blog List