WANYONGE HAWANA HAKI

Wananchi waliodhurumiwa haki yao ya ardhi walioachiwa na marehemu mama yao wamemuomba Rais John Pombe Magufuli asikie kilio Chao ili awasaidie kurudishiwa haki yao ya Kiwanja                             Wananchi hao wakazi wa Kata ya Miono Chalinze Kitongoji cha Kikalo halmashauri ya  Bagamoyo wameiomba Serikali iwasaidie kwa kuwa ni wanyonge wamenyimwa haki yao ambapo Kiwanja hicho walilithi kutoka kwa marehemu mama yao

Share on Google Plus

About GLORIA MATOLA

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
Chapisha Maoni

Watch the Video Here

Loading...
Inaendeshwa na Blogger.

Wanaofuata

Google+ Followers

TANGAZO

My Blog List