TANESCO MKOA WA KINONDONI KASKAZINI UMEZIKATIA UMEME NYUMBA ZAIDI YA MIA TATU ZILIZOBAINIKA KUHUJUMU MIUNDOMBINU

Wananchi waliobainika Kuhujumu Miundombinu kwa kuchakachua ili waweze kutumia umeme bila malipo yoyote                                                                 Operation hiyo ambayo imeanza tangu mwaka 2011 imelenga kukomesha vitendo vya uhujumu Miundombinu ya umeme ili kuwawezesha wanachi kunufaika na rasilimali hiyo kwa maendeleo yao                                                   Wakaguzi hao wakiwa katika mtaa Oyerstabay kata Msasani barabara ya Mkadini nyumba Prot no. 63 bloc /109 zoezi la ukaguzi kwa nyumba hiyo walipata wakati mgumu baada ya mlinzi kuamrishwa awafungie mlango wasitoke nje zaidi ya masaa. 5.inadaiwa kuwa nyumba hiyo ya Kigogo mmoja alikuwa akifanya kazi Serikalini

Share on Google Plus

About GLORIA MATOLA

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
Chapisha Maoni

Watch the Video Here

Loading...
Inaendeshwa na Blogger.

Wanaofuata

Google+ Followers

TANGAZO

My Blog List