Ukosefu wa Madini Watanzania wengi hawana ufahamu wa Chalula na Lishe. Uelewa madogo wa masuala ya Chakula na Lishe yamepelekea watanzania wengi kukosa madini mwilini kwa asilimia 60 na hivyo kusababisha magonjwa mbalimbali Profesa Berrnard Chove Mhadhiri Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo amesema wakulima nchini ndiyo wadau wakubwa wa uzalishaji chakula na kutoa wito kwa kupewa mbinu bora na, za kisasa za Kilimo chenye tija Dr Richard Mongi Mhadhiri chuo kikuu cha Sokoine cha Kilimo Morogoro SUA amesema kuongezeka kwa magonjwa nchini kunatokana na ulaji wa vyakula Vibovu hususani vile vya kusindika kutoka nje ya nchi ambayo havina ubora na kuwataka Watanzania kutumia Vyakula vya kiasili
RAIS SAMIA ASHIRIKI MAADHIMISHO YA SHEREHE ZA MIAKA 61 YA MAPINDUZI YA
ZANZIBAR
-
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan
ameshiriki maadhimisho ya kilele cha Miaka 61, ya Mapinduzi Matukufu ya
Zanzibar y...
Siku 2 zilizopita
0 comments:
Chapisha Maoni