FNB BANK Y

Wananchi washauriwa kuhifadhi fedha zao benki. Wananchi wenye kipato cha chini nchini wameshauriwa kuweka akiba zao katika Benki ambazo hazina makato ya mwezi lengo likiwa ni  kuhimiza kuweka akiba.                                                                   Katika kuhimiza hilo. Benki ya FNB imeandaa mashindano ya kuwasaidia wateja wa kila mwezi kwa mshindi kujinyakulia shilingi milioni tano Ni Mkuu wa Uzalishaji Benki ya FNB Silvest Arumasi ambaye anasema wamejipanga kutoa zawadi hizo, za fedha kwa mshindi


Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 comments:

Inaendeshwa na Blogger.

Wanaofuata

TANGAZO

My Blog List