Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma. Hab Mkwiza amewaagiza waajiri katika. Sekta ya Umma nchini kuhakikisha ahadi ya uadilifu kwa watumishi wa Umma inatekelezwa kabla ya Disemba 31 mwaka huu Hatua hiyo inakuja ikiwa ni jitihada za kurudisha maadili ya kazi kwa watumishi wa Umma, Kutokana na madai ya kuwepo kwa Baadhi ya watumishi kujihusisha na vitendo vya rushwa, ubadhilifu wa mali za Umma, utoro kazini na vitendo vya Unyanyasaji
RAIS SAMIA ASHIRIKI MAADHIMISHO YA SHEREHE ZA MIAKA 61 YA MAPINDUZI YA
ZANZIBAR
-
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan
ameshiriki maadhimisho ya kilele cha Miaka 61, ya Mapinduzi Matukufu ya
Zanzibar y...
Siku 2 zilizopita
0 comments:
Chapisha Maoni