Benki ya Dunia imekubali kuipatia Tanzania mikopo? Tanzania mkopo wa Dola millioni 27 za Kimarekani kwa ajili ya kusaidia Mradi wa Utengamanisho kwa Raia Wapya. Mradi huo unawahusu Waliokuwa Wakimbizi wa Burundi walioingia nchini 1972 ambao sasa wamepatiwa Uraia wa Tanzania Fedha zitakazotolewa na Benki ya Dunia zitatumika katika miradi ya elimu, afya, maji na uhifadhi wa Mazingira kwa raia Wapya
DKT.SLAA APANDISHWA KIZIMBANI
-
*kmonlinetv*
Mwanachana wa Zamani wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Dkt.
Wilbrod Slaa (76) amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, ...
Siku 1 iliyopita
0 comments:
Chapisha Maoni