Chama cha Wananchi CUF kimelaumu uteuzi wa Zanzibar kuwa na mawaziri wawili tu kwenye baraza hilo kwa madai halitawanufaisha Wanzanziribari kwa kuwa Wizara ya Maji na Umwagiliaji aliyoteuliwa Prof Makame Mbarawa siyo ya Muungano. Cuf imemshauri Rais John Magufuli kuangalia upya uteuzi wa Wizara hiyo ikiwezekana kumpata Waziri kutoka Tanzania Bara ambaye anajua matatizo ya Maji kwa wakazi wa Tanzania bara. Hamidu Bobali Mwenyekiti wa Vijana Cuf Taifa pia ni Mbunge wa Mchinga Lindi kupitia Chama cha Cuf akiongea jijini Dar es salaam amemshauri Rais Magufuli Katika uteuzi wake kuangalia sura na utendaji kazi wa Muungano
DKT.SLAA APANDISHWA KIZIMBANI
-
*kmonlinetv*
Mwanachana wa Zamani wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Dkt.
Wilbrod Slaa (76) amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, ...
Siku 1 iliyopita
0 comments:
Chapisha Maoni