Uchakavu wa Majengo ya Chuo, hali hiyo yamsikitisha Naibu Waziri anayeshughulikia Walemavu. Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Watu wenye Ulemavu Dk Abdallah Possi amesikitishwa na hali aliyoikuta katika chuo cha Ufundi Yombo kwa watu wenye Ulemavu. Katika Ziara yake tangu ateuliwe kushika nyadhifa hiyo. Dk. Possi amekutana na hali ya uchakavu wa Majengo ya Chuo hicho sambamba na kumegwa kwa eneo la ukubwa wa Ekari Tano
DKT.SLAA APANDISHWA KIZIMBANI
-
*kmonlinetv*
Mwanachana wa Zamani wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Dkt.
Wilbrod Slaa (76) amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, ...
Saa 3 zilizopita
0 comments:
Chapisha Maoni