Waathirika na Dawa za kulevya nchini Mteja mwenye kupata nafuu wameishauri Serikali kuanzisha elimu ya kutambua madhara ya kutumia dawa za kulevya. Elimu hiyo itolewe kuanzia shule ya msingi hadi Sekondari Vijana watambue matatizo ya utumiaji wa Dawa za kulevya itasaidia jamii kutambua asara za matumizi, Vita lhivyo endapo Serikali itaweza kutowa elimu kuanzia shule za msingi hadi sekondari Tanzania inaweza Kufanikiwa kudhibiti matumizi ya dawa za Kulevya. Mkurugenzi wa Kituo cha kuwasaidia waathirika wa dawa za kulevya Frek amesema tatizo la dawa za kulevya ni janga la Kitaifa kila mwananchi anatakiwa kupiga vita utumiaji na kuwafichuwa wafanyabiashara alamu wa dawa za kulevya
AHADI YA SERIKALI KUFIKISHA UMEME WA GRIDI KAGERA YATEKELEZWA
-
📌 *Dkt.Biteko ashuhudia utiaji saini mikataba itakayowezesha Wilaya zote
Kagera kupata umeme wa Gridi*
📌 *Awali umeme mwingi ulikuwa ukitoka nchini U...
Saa 13 zilizopita
0 comments:
Chapisha Maoni