Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam limetangaza kuendesha operesheni maalum ya kuwakamata watuhumiwa wanaojiusisha na biashara ya dawa za Kulevya, wauzaji wa Pombe aina ya Gongo na majambazi sugu wa kutumia Silaha. Jeshi la Polisi Kanda maalumu ya Dar es salaam kwa kushirikiana na Ustawi wa Jamii kuwaondoa ombaomba jijini Dar es salaam Kamishina Suleiman Kova amesema wanaendesha operesheni hiyo baada ya kubaini Kuwa baadhi yao wanajihusisha na vitendo vya Uhalifu
MH.KUNDO AAHIDI NEEMA YA MAJI KIBAHA
-
Naibu Waziri wa Maji Mhe.Kundo Mathew akisaini kitabu cha wageni mara
baada ya kuwasili kwenye Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Pwani leo Januari 7,2025
Mkurugen...
Siku 2 zilizopita
0 comments:
Chapisha Maoni