Wananchi hao wakiongea na Mwandishi wa Mtandao huu wamedai malipo ya fidia ailingani na ubomoaji wa Nyumba zao. Wamedai fidia iliyotolewa ni ya Mita 15 kutoka barabara kubwa ya Kutoka Jeti Lumo kwenda Buza wakiendelea kulalamika wamedai wamepunja malipo ya Nyumba zao, wameiomba Serikali iwasaidie kilio Chao hili haki hitendeke kisheria
VIONGOZI WA DINI NCHINI JAMHURI YA AFRIKA YA KATI WAISHUKURU JWTZ
-
Umoja wa Viongozi wa madhehebu ya dini nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati
wameonesha imani kubwa ya ulinzi wa amani unaotolewa na Jeshi la Ulinzi la
Wananch...
Siku 1 iliyopita
0 comments:
Chapisha Maoni