KILIMO CHA KISASA NCHINI.










 Serikali inaendelea kuboresha kilimo kwa kuleta tecknolojia mpya na kuongeza wataalam mbalimbali pamoja na watafiti na ubunifu,lengo likiwa ni kuinua kipato cha wakulima wadogo pamoja na wafugaji kuwaongezea uwezo wa kiuchumi kwa kutumia Teknolojia mpya ya JMOO.Hata hivyo serikali itaendelea kuwajengea uwezo na mazingira ya tafiti katika kuhakikisha wakulima nchini wanaongeza uzalishaji katika kilimo cha Nafaka na baadaye mbogamboga.
Dk Emmarold Mneney,Mtafiti wa Bioteknolojia anasema Teknolojia hii mpya itasaidia kuondoa tatizo la umaskini kwa wakulima wadogowadogo pamoja na wafugaji kwa kufanikiwa kupata mavuno mengi kutokana na Mbegu bora.
Baadhi ya wakufunzi na Mwenyekiti jukwaa la waandishi wa Habari za kilimo Tanzania ,wametoa wito kwa wanahabari kuandika habari za kilimo ili kuwaongezea uwezo na uelewa wa sayansi za Teknolojia mpya za kilimo.
Pamoja na jitihada za serikali kuongezea uwezo wa teknolojia mpya za kilimo kwa wakulima wadogo bado wakulima hawajafaidika na utaalamu huo.


Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 comments:

Inaendeshwa na Blogger.

Wanaofuata

TANGAZO

My Blog List