Wananchi hao wamesema Pori hilo limekuwa ni kelo kwao kwa kuwa watu wasiowahaminifu wamekuwa wakifanya matukio ya uwalifu ikiwepo kubakwa kuporwa pikipikiu na kuhuwawa na kutupwa katika Pori hilo. Wananchi hao wamejitahidi kutowa taarifa kwa Mwenyekiti wa Serikali ya. Mtaa amna mahamuzi ya kisheria aliyofanya
BALOZI MATINYI AONGOZA UJUMBE WA TANZANIA KATIKA MKUTANO WA BIASHARA KATI
YA NCHI ZA NORDIC NA AFRIKA JIJINI OSLO
-
Balozi Mobhare Matinyi akizungumza na Mwakilishi wa kampuni ya nishati ya
CAMBI ya Norway barani Afrika, Gary Brown, jijini Oslo, pembezoni mwa
Mkutano ...
Saa 16 zilizopita
0 comments:
Chapisha Maoni