Wafanyakazi hao wakiongea na mwandishi wa Mtandao huu wamesema wamekuwa wakifanya kazi katika Mazingira magumu wakilipwa kiasi cha malipo ya elfu tano kwa siku. Hata hivyo wamesikitishwa kuachishwa kazi ghafura wafanyakazi 174 bila kufata taratibu za kisheria. Mwandishi wa Mtandao huu alimtafuta Afisa mwajiri wa Kampuni hiyo alikataa kutoa ushirikiano na baada ya hapo alikimbia hakutaka kuongea hayo malalamiko yaliyotolewa na wafanyakazi hao. Hata hivyo ilimtafuta Meneja wa mradi Dege eco Village kujibu malalamiko hayo naye alikataa kutowa ushirikiano
DKT. YONAZI TUKO TAYARI KWA CHAN 2025
-
Dkt. Jim Yonazi aongoza makatibu kukagua viwanja,asema sasa Tanzania
timamu kwa CHAN .
Katibu Mkuu wa Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge na Uratibu Dkt....
Saa 14 zilizopita
0 comments:
Chapisha Maoni