WAFANYAKAZI WA DEGE ECO Village

Wafanyakazi wa mradi wa Ujenzi Dege eco Village wameiomba Serikali kufika kukagua ndani ya mradi huo ili kujionea Viwanda viwili ambavyo kimoja ni cha Nondo na kingine kinatengeneza Mabomba wakizalisha kinyume na taratibu za Seriksli

Wafanyakazi hao wamesema wanafanya kazi katika mazingira magumu na kulipwa mshahara mdogo usiolingana na Kazi wanazofanya huku wamiliki wa mradi wakipuuza kuhusu afya zao pindi wanapoumia katika maeneo ya kazi

Share on Google Plus

About GLORIA MATOLA

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
Chapisha Maoni

Watch the Video Here

Loading...
Inaendeshwa na Blogger.

Wanaofuata

Google+ Followers

TANGAZO

My Blog List