Kanisa la Ufunuo Tanzania lililopo jijini Dar es salaam wamefanya Ibada maalum ya kuiombea Taifa ili liwe katika hali ya Amani na utulivu Usalama kwa maendeleo ya taifa na jamii kwa ujumla. Ibada hiyo ikiongozwa na Nabii Paulo Bendera Kanisa la Ufunuo Tanzania iliwaombea viongozi wa ngazi mbalimbali ikiwepo wa wilaya, Wakuu wa Mkoa, Wabunge. Mawaziri
, Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania John Pombe Magufuli waweze kufanya kazi za kuwahudumia wananchi kwa Usalama wa taifa
BALOZI MUSSA AKAGUA MAJENGO YA UBALOZI WA TANZANIA NCHINI MALAWI.
-
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki
ambaye pia ni Mwenyekiti wa kamati ya miradi ya Wizara, Balozi Said Shaib ...
Saa 14 zilizopita
0 comments:
Chapisha Maoni