Mamlaka ya Chakula na Dawa TFDA wametowa wiki mbili watengeneze Miundombinu ya Machinjio ya Vingunguti na Ukonga Mazizini pia wavae Koti Nyeupe wanapokuwa kazini mahamuzi hayo yamekuwa baada ya kukaa kikao Uongozi wa Machinjio ya Vingunguti na Ukonga Mazizini, Mkurugenzi wa Manispaa ya Ilala na Meneja wa TFDA wa Kanda ya Mashariki
MISS WORLD CHINA ATEMBELEA HIFADHI YA MAKUYUNI WILDLIFE PARK
-
📍 Akiri kuwa Tanzania imebarikiwa kwa vivutio vya kipekee vya utalii
Na Beatus Maganja, Arusha
Hifadhi ya Makuyuni Wildlife Park, iliyopo takribani ki...
Saa 10 zilizopita
0 comments:
Chapisha Maoni