Jumuiya ya Wanawake wa UWT CCM Mkoa wa Dar es salaam wakiwa katika Ziara ya kuwashukuru UWT kwa kushiriki katika Uchaguzi wa Udiwani, Ubunge na Urais

Wanawake hao wamepongeza kushiriki katika Uchaguzi Mkubwa wa kuchagua Viongozi. Pia wameangalia changamoto zilizojitokeza wakati wa Uchaguzi pamoja na Viongozi na Wanachama waliothariti Chama cha Mapinduzi na kushiriki upande wa pili wa Upinzani kuwaongezea nguvu.

Ziara ya hiyo iliongozwa na Mwenyekiti wa UWT Mkoa wa Dar es salaam Mhe Janeth Masaburi

Share on Google Plus

About GLORIA MATOLA

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
Chapisha Maoni

Watch the Video Here

Loading...
Inaendeshwa na Blogger.

Wanaofuata

Google+ Followers

TANGAZO

My Blog List