Wito huo umetolewa na Dk wa Mifugo Manispaa ya Ilala Msongo Sonora jijini Dar es salaam baada ya kufika eneo la Machinjio na kukuta mgawanyiko wa Wafanyabiashara wakigombea damu ya Ngombe na kuwataka wafanye kazi kwa utulivu.
Dk Songoro amewataka Watu wasitumie Mgogoro huo kama sehemu ya kujinufaisha
Machinjio ya Vingunguti Wafanyabiashara wa Machinjio hiyo wanatakiwa waache Migogoro
-
06:03
0 comments:
Chapisha Maoni