Pongezi hizo zimetolewa baada ya Kufanikiwa kuwaondoa maeneo waliyokuwepo wakifanyia biashara zao. Hivi sasa wametengewa maeneo rasmi ya kufanyia biashara lkatika maeneo ya Kigogo, Tabata, Ukonga na Kivule ambapo wataweza kulipa Kodi na kunufaika pato la taifa.
UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO
-
UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO
Saa 11 zilizopita
0 comments:
Chapisha Maoni