Uamuzi wa Mahakama ya Kazi. Manispaa ya Ilala imedai haijaridhishwa na uamuzi wa Mahakama ya Kazi ya kuwarudisha kazini Mgambo 235 waliofukuzwa kazi na Manispaa hiyo Mwaka 2012 kwa madai ya kutoridhishwa na uamuzi huo Mwanasheria wa Manispaa ya Ilala Bonaventure Mwambaja amesema Tuzo iliyotolewa na Mahakama hiyo inakasoro nyingi za Kisheria hivyo wameanza taratibu za shauri hilo ziende Mahakama kuu ya Kazi kwa ajili ya kusikilizwa upya
DKT. DORIYE AVISHWA CHEO KUAPISHWA KUWA KAMISHNA WA UHIFADHI NCAA.
-
*Na Kassim Nyaki, Karatu.*
Waziri wa Maliasili na Utalii Balozi Dkt. Pindi Hazara Chana (Mb) kwa niaba
ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Sa...
Saa 17 zilizopita
0 comments:
Chapisha Maoni