Mgogoro wa ardhi bado ni tatizo Nchini

Wananchi wa Kitongoji cha Msimbu kata Msimbu Wilaya ya Kisarawe Mkoa wa Pwani wameiomba Serikali iwasaidie katika Kurudishiwa ardhi ya Kitongoji Eka 161 kuchukuliwa na Mwekezaji wa Machimbo ya Mchanga. Viongozi wa kata hiyo akiwepo Mtendaji wa kata pamoja na Mwenyekiti wa Kitongoji,wote wameonyesha kumtetea Mwekezaji. Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe amewataka Wananchi waache kununua ardhi kiolela hali hiyo imekuwa ikichochea Migogoro ya ardhi nchini

Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 comments:

Inaendeshwa na Blogger.

Wanaofuata

TANGAZO

My Blog List