WAZIRI MKUU NCHINI TANZANIA KASSIM MAJARIWA AKIONGOZA ZOEZI LA KUCHANGIA WANANCHI WA BUKOBA KUTOKANA NA MAJANGA YA TETEMEKO LA ARDHI

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiongoza Mkutano wa kuwachangia Wananchi wa Bukoba waliopatwa na Janga la Tetemeko la ardhi lilosababisha baadhi ya watu kupoteza maisha na wengine kujeriwa wamelazwa Hospitali pia na mbalimbali, Nyumba zimebomoka na baadhi ya Shule na kusababisha Wanafunzi kushindwa kwenda shule Kutokana na Majengo kubomoka, michango hiyo imetolewa na Barozi kutoka nchi mbalimbali, Wafanyabiashara Wakubwa na Wadogo pamoja na wadau mbalimbali waliweza kuchangia vitu mbalimbali pamoja na Fedha zaidi ya Bilion Moja imepatikana zinaweza kuwasaidia Wananchi walipatwa na matatizo Bukoba

Share on Google Plus

About GLORIA MATOLA

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
Chapisha Maoni

Watch the Video Here

Loading...
Inaendeshwa na Blogger.

Wanaofuata

Google+ Followers

TANGAZO

My Blog List