Wazazi nchini wametakiwa kuzaa Idadi ya Watoto watakaoweza kuwamudu katika malezi mema ili kukabiliana na tatizo la watoto wa Mitaani.. Mkuu wa Wilaya ya Ilala Sophia Mjema amebainisha hayo wakati akipokea msaada wa Pampers zilizotolewa katika Hospitali ya Amana Jijini, Dar es salaam ambapo amesema kwa kufanya hivyo matatizo yanayowakabili muhimu watoto hao yatapungua. Naye afisa Habari wa GSM Foundation Khafan Kiwambawa Amesema Kampuni hiyo imeguswa na changamoto. mbalimbali katika maisha Jamii hivyo kuamua kurejesha faida inayopatikana kwa kutoa msaada kwenye sekta Afya ambayo inayokabiliwa na matatizo mengi. Dr Shaany Mwaruka Kaimu Mganga Mkuu wa Hospitali ya Amana wameshukuru msaada Uliotolewa wa Pampers Uliotolewa na Kampuni ya GSM Foundation pia Amewataka wadau mbalimbali wajitokeze kutowa misaada mingine wanaupungufu wa Vifaa Tiba Kwa Wazazi na Watoto
RAIS DKT.SAMIA SULUHU HASSAN ATOA POLE AJALI YA KARIAKOO
-
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan
akitoa salamu za pole kwa waathirika wa ajali ya kudondokewa na gorofa
Kariakoo Jij...
Saa 2 zilizopita
0 comments:
Chapisha Maoni