Masaburi kuzikwa Chanika Jumatatu    Mazishi ya Mheshimiwa Masaburi yatafanyika Chanika karibu kabisa na Chuo alichokuwa anamiliki.Tanzania imempoteza kiongozi shupavu ambaye muda mwingi alikuwa Mcheshi.Na amefanikiwa kuwa Meya wa jiji la Dar es salaam na kugombea Ubunge mwaka 2015.Bwana Ametoa na Bwana ametwaa.
                   
                               Image result for masaburi
Share on Google Plus

About GLORIA MATOLA

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
Chapisha Maoni

Watch the Video Here

Loading...
Inaendeshwa na Blogger.

Wanaofuata

Google+ Followers

TANGAZO

My Blog List