Watu watatu wanaodaiwa kuuza ardhi katika kata ya Msimbu
wamekamatwa kwa agizo la Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe Mkoa wa Pwani
Happiness William Seneda huku aliyejifanya Mwenyekiti wa Serikali ya
Kijiji cha Msimbu Mwarami Said Mkali akitafutwa kwa kosa la kugushi
nyaraka za Serikali na kuuza ardhi kwa njia ya udanganyifu. Nyaraka
ambazo zimehusishwa ni pamoja na Bendera ya Taifa, Karatasi zenye nembo
ya Manispaa ya Kisarawe. Mhuri wenye nembo ya Kijiji cha Msimbu na
kufanya mauzo.. Wananchi hao pamoja na jitihada za Mkuu wa Wilaya hiyo
kutatua Mgogoro wa Ardhi kati ya Mwekezaji na Wananchi, upande wa
Wananchi awakulizika. Wananchi wakiongea na Mwandishi wa Mtandao huu
wamesema aiwezekani Mwekezaji pia ni mwana Kijiji awe na eneo kubwa la
Eka 161 ameuziwa na nani. Nao wameonekana wameuziwa kwa njia ya
udanganyifu huku watendaji wa Serikali ya Kijiji hipo jirani na Ofisi
inayotumika kuwadhurumu Wananchi zaidi ya miaka miwili.. Wananchi hao
wamesema wanajiandaa kumuona Waziri Mwenye zamana na ARDHI
RAIS DKT.SAMIA SULUHU HASSAN ATOA POLE AJALI YA KARIAKOO
-
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan
akitoa salamu za pole kwa waathirika wa ajali ya kudondokewa na gorofa
Kariakoo Jij...
Siku 2 zilizopita
0 comments:
Chapisha Maoni