TFF NA SERIKALI ICHUKUE HATUA KALI DHIDI YA MASHABIKI WA SIMBA..

Baada ya mchezo wa watani wa Jadi Yanga na Simba kumalizika kwa Sare ya moja moja katika uwanja wa Taifa,Jijini Dar es salaam.Watu wengi wamelalamikia mwenendo wa mchezo mzima ikawamo Lawama kwa mwamuzi wa kati na pembeni kwa kutochezesha kwa haki na kutoa upendeleo kwa klabu ya wanajangwani haswa kitendo wanachodai kuwa Mshambuliaji wa Yanga Hamis Tambe kushika mpira kabla ya kuukwamisha wavuni na goli la Simba ambalo mwamuzi alilikataa na kudai ilikuwa ni mchezo wa kuotea hata hivyo mchezo ulimalizika kwa uhalibifu wa hali ya juu uliofanywa na mashabiki wa Simba.Wadau wa soka wameomba uchunguzi ufanyike ili kubaini ukweli juu ya Waamuzi waliochezesha mchezo huo kama wamehusika na Vitendo vya rushwa Pamoja na kuwachukulia Hatua kali Mashabiki wa Simba kwa kitendo cha uhalibifu walichokifanya uwanjani.

CtwZvCLWYAAPRRS.jpg

 1475402343363.jpg
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 comments:

Inaendeshwa na Blogger.

Wanaofuata

TANGAZO

My Blog List