Wananchi wameshauriwa kuacha tabia ya kuharibu Mazingira na badala yake kuwa na Utaratibu wa kupanda Miti ili kuepukana na uchafuzi wa hali ya hewa na majanga yasiyo ya lazima. Hayo yamesemwa na Makamu wa Rais wa Tanzania Samia Suluhu katika Kampeni ya Miti yenye Kauli mbiu MTI WANGU na kuvitaka vyombo vya ulinzi na Usalama kuwa mstari wa mbele kulinda. Miti hiyo. Lengo la Serikali ni kupanda Mti kila nyumba kwa sasa maeneo mengi ya mijini yamekuwa na uharibifu mkubwa wa Mazingira Kutokana na ukataji Miti kiholela
RAIS DKT.SAMIA SULUHU HASSAN ATOA POLE AJALI YA KARIAKOO
-
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan
akitoa salamu za pole kwa waathirika wa ajali ya kudondokewa na gorofa
Kariakoo Jij...
Siku 1 iliyopita
0 comments:
Chapisha Maoni