KAMPENI YA MITI DAR ES SALAAM

Makamu wa Rais Samia Suluhu anatarajiwa kuwa mgeni katika zoezi la Uzinduzi wa Kampeni ya Miti yenye Kauli mbiu MTI WANGU katika Mkoa wa Dar es salaam Tarehe 1  Oktoba 2016 Mti wangu. Uzinduzi huo utahusisha Viongozi mbalimbali wa Serikali na Mashariki binafsi huku lengo likiwa kuhakikisha kila Mkazi wa Jiji la Dar es salaam anashiriki kulinda na kuhifadhi Mazingira kwa kupanda Mti. Felix Ryaniva Mkuu wa Wilaya ya Temeke, amesema ni wajibu wa kila mwananchi kutunza Mazingira na kuacha tabia ya ukataji Miti hovyo kwani ni hatari kwa usitawi wa Taifa

Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 comments:

Inaendeshwa na Blogger.

Wanaofuata

TANGAZO

My Blog List