WAFANYABIASHARA NDOGO NDOGO JIJINI DAR ES SALAAM WAMACHINGA WAKIWA KAZINI

Wamachinga wamesema tatizo la ajira ni kubwa nchini wameamua kujiajili wenyewe ili kuondokana na utegemezi pamoja na kushiriki katika makundi mabaya ya uwalifu, wamesema wanamshukuru Dkt John Pombe Magufuli Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania bara na Visiwani kwa kuonyesha Upendo kuwa anatambua shughuli wanazofanya wasisumbuliwe na Mgambo pamoja na Jeshi la Polisi kuwatawanyisha. nakuwakamata, hivi sasa wanafanya kazi zao kwa Amani na Usalama  na mali zao 

Share on Google Plus

About GLORIA MATOLA

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
Chapisha Maoni

Watch the Video Here

Loading...
Inaendeshwa na Blogger.

Wanaofuata

Google+ Followers

TANGAZO

My Blog List