WAKULIMA WA BUSTANI, ZA MBOGA MBOGA WA MUOMBA RAIS JOHN POMBE MAGUFULI ASIKIE KILIO CHAO WANYONGE

Joseph  Antobiya mmoja kati ya watu wanaotegemea kazi ya Kilimo cha Mbogamboga za Majani jijini Dar es salaam, Wamemuomba Rais John Pombe Magufuli azisimamie Pesa alizokusudia kuwapatia Wananchi kila Mitaa na Vijiji na vitongoji ili pesa hizo ziwafikie walengwa. Joseph amesema Serikali iliyopita ilikuwa ikitowa Pesa mbalimbali za maendeleo kwa wananchi lakini ilikuwa inaishia mikononi kwa wachache walengwa aiwafikii. Hata hivyo amesema Wana miaka zaidi ya miaka 20 wakitegemea Kilimo lakini awajawahi kutembelewa na Afisa Kilimo wala kiongozi yoyote wa Wilaya hiyo kuangalia shughuli wanazofanya au kutowa ushauri wa kitaalam

Share on Google Plus

About GLORIA MATOLA

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
Chapisha Maoni

Watch the Video Here

Loading...
Inaendeshwa na Blogger.

Wanaofuata

Google+ Followers

TANGAZO

My Blog List