UWALIFU WA MSONGOLA

Mkuu wa Wilaya ya Ilala Sophia Mjema amemwagiza Mkuu wa Kituo cha Polisi cha Msongola pamoja na Rpc wa Wilaya hiyo kuhakikisha Ulinzi na Usalama unaimarishwa katika maeneo ya Msongola na kutowa Onyo, Serikali haiwezi kufumbia macho akizungumza katika Mkutano wa adhara baada ya Wananchi kutowa kelo zao. Pia amemtaka Mkurugenzi wa Manispaa ya Ilala kuwahamisha Watumishi wa Hospitali ya Mvuti wanaolalamikiwa kutoa Kauli mbaya kwa Wagonjwa katika Hospitali hiyo ya Mvuti

Share on Google Plus

About GLORIA MATOLA

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
Chapisha Maoni

Watch the Video Here

Loading...
Inaendeshwa na Blogger.

Wanaofuata

Google+ Followers

TANGAZO

My Blog List