KIZIMBANI KWA KUTISHIA KUUA

Mkazi mmoja wa jijini Dar es Salaam anayefahamika kwa jina la Ahmad Khalifa amefikishwa katika mahakama ya Hakimu Mkazi kinondoni kwa kosa la kumtishia kumua Hawa lusamma .

Hayo yametokea baada ya mshtakiwa kupanga nyumba ya marehemu Lussama Kwa miaka minne (4) Bila ya kulipa kodi.Ambapo alikuwa akitumia Kwa ajili ya gereji na vifaa vya magari.

Akisomewa mashtaka hayo katika Mahakama ya mwanzo Kinondoni mbele ya Hakimu Marko Mochiwa chini ya kifungu cha 89 -16 (2) mnamo tarehe 9/5/2017 eneo la Kinondoni Msisiri mshatikiwa alitoa lugha ya matusi kwa Bi Hawa Lussama .Hata hivyo mshatikiwa alikana shitaka hilo na kuambiwa kuwa dhamana iko wazi na akishindwa ataenda mahabusu mpaka kesi hiyo itakapotajwa tena Mei 24.Ahmad Khalifa akingizwa katika mahakama ya mwanzo Kinondoni.

Share on Google Plus

About GLORIA MATOLA

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
Chapisha Maoni

Watch the Video Here

Loading...
Inaendeshwa na Blogger.

Wanaofuata

Google+ Followers

TANGAZO

My Blog List