Rais Magufuli amefanya uteuzi kwa kuwateua Bibi. Mary Gasper Makondo kuwa Kamishna wa Ardhi na Bibi Evelyne Mugasha kuwa Mthamini Mkuu wa Serikali .
Aidha, Rais Magufuli amemteua Dkt.
Stephen J. Nindi kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya Taifa ya Mipango ya Matumizi ya Ardhi.
Uteuzi huu utaanza July 16, 2017.
UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO
-
UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA24 ZIJAZO
Saa 3 zilizopita
0 comments:
Chapisha Maoni