Katika kupigania na kuhakikisha utekelezaji wa sera na ilani ya Chama cha mapinduzi hususan Tanzania ya Viwanda. Mbunge wa chalinze Mhe Ridhiwani Kikwete amesema "Maendeleo ya Viwanda na uwekezaji yanategemea sana Mazingira Bora yaliyowekwa na Njia sahihi zisizo na mikwamo".Hayo yamesemwa katika Ziara ya Taasisi ya Kibunge inayopambana na Magonjwa ya Milipuko na Malaria katika Kiwanda Cha Vyandarua Cha A To Z-Arusha.
Katika ziara hiyo Mhe Ridhiwani Kikwete alipata nafasi ya kuangalia uzalishaji wa Vyandarua na kujifunza mambo ili kutengeneza fursa katika jimbo lake la Chalinze.
UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO
-
UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA24 ZIJAZO
Saa 19 zilizopita
0 comments:
Chapisha Maoni