Tazara inatarajia kuboresha huduma zake za usafiri wa treni kati ya Tanzania na Zambia pamoja na nchi zingine za Africa.
Hayo yamesemwa leo katika mkutano na waandishi wa habari ambapo wamezungumzia utaratibu mpya wa kutoa huduma kwa wananchi wanaonufaika na reli hiyo ya Tazara kwa kuboresha huduma ya treni badala ya kubadilishana vichwa vya treni tunduma na kuingia Zambia,Treni litakua linaingia moja kwa moja hadi Zambia kama vile wanavyofanya wenzetu nnje kama Maputo na South Africa nk.
0 comments:
Chapisha Maoni