WASANII WA FILAMU NCHINI.

                                
Na Gloria Matola
Dar es salaam

Wasanii wa filamu Nchini wametoa misaada mbalimbali ikiwemo vyakula katika Chuo cha Ufundi cha watoto wenye Ulemavu  cha Yombo Vituka  jijini Dar es salaam huku Chuo hicho kikithibitisha kukabiliwa na upungufu mkubwa wa Walimu na Vifaa vya kufundishia.

Wasanii hao wametoa misaada hiyo ikiwa ni sehemu ya kumuenzi Baba wa Taifa Hayati Julias Kambarage Nyerere aliyekuwa mwanzilishi wa Chuo hicho

Chuo hicho kinachofundisha vijana wenye ulemavu kilianzishwa enzi za Utawala wa Mwalimu Nyerere hata hivyo kimesahaulika huku kikikabiliwa na upungufu mkubwa wa walimu na vifaa vya kufundish


Mandela Ramwai ni mwanafunzi mwenye ulemavu wa ngozi mwenye kipaji cha kuimba  na kuigiza ambaye ametoa wito kwa Jamii kuacha ubaguzi na kuwachukulia walemavu kama binadamu wengine.
Share on Google Plus

About GLORIA MATOLA

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
Chapisha Maoni
Inaendeshwa na Blogger.

Wanaofuata

Google+ Followers

TANGAZO

My Blog List