| MHE;ABASI MTEMVU leo amefungua rasmi kampeni za chama cha mapinduzi ndani ya Kata ya vituka. | 
MHE:ABASI MTEMVU AMESEMA CHAMA CHA MAPINDUZI KIMEAHIDI KUTOA BILLION 200
KWAJILI YA WAKINA MAMA ,WALEMAVU NA VIJANA ENDAPO KITAPATA
RIDHAA YA KUONGOZA NCHI.
KWAJILI YA WAKINA MAMA ,WALEMAVU NA VIJANA ENDAPO KITAPATA
RIDHAA YA KUONGOZA NCHI.
Hayo ameyasema katika uwanja wa kidulazi uliopo lumo mwanzokata ya yombo vituka wilaya ya temeke jijini Dar es salaam wakati akiwanadi wagombea wa ubunge na udiwani.
Mwenyekiti wa chama cha mapinduzi Mkoa wa Dar es salaam Abasi Mtemvu amesema chama
cha mapinduzi kikipata ridhaa ya kuongoza tena nchi,Wananchi wategemee maendeleo mbalimbali
katika sekta tofautitofauti ikiwemo Afya,maji,elimu,Barabara Pamoja na kuwezesha vikundi vya akina mama na vijana kimitaji.
cha mapinduzi kikipata ridhaa ya kuongoza tena nchi,Wananchi wategemee maendeleo mbalimbali
katika sekta tofautitofauti ikiwemo Afya,maji,elimu,Barabara Pamoja na kuwezesha vikundi vya akina mama na vijana kimitaji.
Nae aliekuwa Mbuge wa viti maalumu wilaya ya temeke Mariam Kisangi wakati akiomba ridhaa kwa
wananchi wa kata ya yombo vituka wamchague kuwa mbuge wa jimbo la temeke, Ameahidi kuwa
atakapopata nafasi hiyo ataboresha huduma katika hospitali ya Malawi kwa kuongeza vifaa tiba
Pamoja na kuongeza madaktari bingwa katika hospitali hiyo.
Aidha Mgombea wa nafasi ya udiwani kupitia chama cha mapinduzi kata ya yombo vituka Ndugu
Mustapha Kashakala ameahidi endapo atachaguliwa ataweza kuinua na kuendeleza taaluma za
vijana wa kata hiyo kwa kuanzisha na kujenga vyuo vya ufundi ili wapate ujuzi katika vyuo ivyo na
waweze kujitegemea.
Wakati watanzania wakitegemea kuingia katika uchaguzi Mkuu huku vyama mbalimbali vya siasa
vikiendelea kufanya kampeni na kueneza sera zao na kujinadi kupitia wagombea wao katika ngazi
ya waudiwani,ubunge na uraisi unaotarajiwa kufanyika mapema oktoba 29 mwaka huu.
MWISHO.
 
 
0 comments:
Chapisha Maoni