Mwanariadha maarufu kutoka Tanzania, Alphonce Simbu, ameibuka mshindi wa mbio ndefu (Marathon) katika mashindano ya riadha ya dunia yanayofanyika nchini Japan.
Mwanariadha Alphonce Simbu ametangazwa mshindi wa medali ya dhahabu katika mbio ndefu za dunia (Marathon) zilizofanyika huko Tokyo, Japani, tarehe 15 Septemba 2025, na kuweka historia kwa Tanzania. Alishinda kwa muda wa saa 2:09:48, akishinda mpinzani wake Amanal Petros wa Ujerumani kwa sekunde 0.03.
0 comments:
Chapisha Maoni