Diamond
Platnumz akionesha tuzo yake aliyoshinda kwa baadhi ya vyombo vya
habari na mashabiki waliofika kumlaki,mara baada ya kuwasili uwanja wa
ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere leo asubuhi (30.7.2014) kutokea
Marekani ambako alishinda zawadi ya Mwanamuziki bora wa kiume wa Afrika
Mashariki 2014.
Mwanamuziki
nyota wa miondoko ya Bongo Fleva Diamond Platnumz akiwasili uwanja wa
ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere leo asubuhi (30.7.2014) kutokea
Marekani ambako alishinda zawadi ya Mwanamuziki bora wa kiume wa Afrika
Mashariki 2014.Pichani akilakiwa na Mama yake Mzazi na baadhi ya
washabiki na wapenzi wa muziki huo.
Diamond
Platnumz akizungumza na baadhi ya vyombo vya habari mara baada ya
kuwasili uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere leo asubuhi
(30.7.2014) kutokea Marekani ambako alishinda zawadi ya Mwanamuziki bora
wa kiume wa Afrika Mashariki 2014.
0 comments:
Chapisha Maoni