Vijana
wakionyesha umahiri wao wa kuchezea Baiskeli wakati wa mashindano ya
Dance Mia mia, yaliyofanyika kwenye Uwanja wa Don Bosco Oysterbay wiki
iliyopita.
Kundi kutoka TMK, likishamblia jukwaa.
Kundi kutoka Kigamboni, likishambulia jukwaa.
Kundi lililoonyesha kukonga vilivyo nyoyo za mashabiki waliokuwapo uwanjani hapo.
Si Kung Fu bali ni Dance Mia mia......
Michezo ya Baiskeli....
0 comments:
Chapisha Maoni