Bondia Nenge Juma kushoto akipambana
na Said Mohamed wakati wa mpambano wao uliofanyika siku ya sikukuu ya
iddi mosi mbezi mwisho juma alishinda kwa TKO ya raundi ya tatu picha na
www.superdboxingcoach.blogspot.com
Bondia Lugano Mwaikambo akioneshana
umwamba wa kutupiana makonde na Michael Chinyama wakati wa mpambano wao
uliofanyika siku ya sikukuu ya idi mosi mbezi mwisho jijini Dar es
salaam Chinyama alishinda kwa point picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com
0 comments:
Chapisha Maoni