Mkurugenzi mtendaji wa kampuni ya Miyombo GOLDEN RESOURCE COMPANY LTD akielezea kazi za asali amesema kuwa Asali ni kinga,pia ni Tiba kwa magonjwa mbalimbali hivyo watanzania wanatakiwa kutumia katika matumizi ya kawaida na si kusubiri magonjwa ndo waanze kutumia.
Pia amezungumzia jamii bado haina uelewa mzuri wa kutambua matumizi ya asali na kutoa ushauri kwa taasisi zinazohusika kutoa kipaumbele katika zao hilo. kampuni ya Miyombo GOLDEN RESOURCE COMPANY LTD imechukua nafasi kubwa katika soko la ndani na Wanazingatia sana suala la usafi katika uzalishaji wa zao hilo la asali.
Mkurugenzi mtendaji wa kampuni ya Miyombo GOLDEN RESOURCE COMPANY LTD MR; FREDY SWAI
Baadhi ya Bidhaa zinazozalishwa na kampuni ya Miyombo GOLDEN RESOURCE COMPANY LTD
Baadhi ya Bidhaa zinazozalishwa na kampuni ya Miyombo GOLDEN RESOURCE COMPANY LTD
Mkurugenzi mtendaji wa kampuni ya Miyombo GOLDEN RESOURCE COMPANY LTD MR; FREDY SWAI
0 comments:
Chapisha Maoni