Ziara hiyo yenye lengo la kukagua miradi ya maji yote iliyo chini ya Serikali na iliyobuniwa mda mrefu kutokana kwa kuongezeka kwa mahitaji ya maji na kusababisha changamoto ya maji sehemu nyingi Tanzania.
leo tarehe 31/07/2014 akiwa Mkuranga Naibu Waziri wa Maji Mh.AMOS MAKALA amekagua Mradi wa Visima virufu nakusisitiza miradi hiyo kuwa endelevu na kujiendesha yenyewe ili kutatua tatizo la Maji,
Pia wananchi walipata nafasi ya kuelezea changamoto na shida wanazokaribiana nazo hususan Wanawake ndo waathirika Wakubwa wa Tatizo la maji.
Naibu Waziri wa Maji Mh.AMOS MAKALA sasa anaendelea na Ziara yake mkoa pwani ili kuendelea kupitia miradi ya maji na kutatua tatizo hilo mkoa wa pwani.
Naibu Waziri wa Maji Mh.AMOS MAKALA akiongea na waandishi wa Habari juu ya mradi mkoa wa Pwani wilaya ya Mkuranga akiwa na baadhi ya viongozi wa Mkuranga.
Naibu Waziri wa Maji Mh.AMOS MAKALA akiangalia mchoro wa mradi wa maji Mkuranga
Ujenzi wa mradi wa maji ukiendelea Mkuranga.
Wananchi wakimsikiliza Naibu Waziri wa Maji Mh.AMOS MAKALA
Naibu Waziri wa Maji Mh.AMOS MAKALA akikagua mradi wa maji
Ujenzi wa mradi wa maji ukiendelea Mkuranga.
Naibu Waziri wa Maji Mh.AMOS MAKALA akikagua mradi wa maji wakatiUjenzi wa mradi wa maji ukiendelea Mkuranga.
Baadhi ya makazi ya Wananchi wa Mkuranga.
Kiongozi wa kamati ya Maji Mkuranga akizungumzia changamoto za Maji Mkuranga.
0 comments:
Chapisha Maoni