HATIMAYE CHIEF LUTALOSA ACHUKUA FOMU YA URAIS NEC


Mgombea wa uraisi kwa tiketi ya chama cha Alliance for democratic change(ADC),Chief Lutalosa amechukua fomu ya kugombea urais kutoka tume ya uchaguzi NEC huku mgombea huyo akihaidi kuwatumikia Watanzania kwa hali na mali.

Chief Lutalosa amesema Tanzania inahitaji chama na mtu makini katika kuleta mabadiliko ya uchumi ambaye anaweza kukabiliana na maadui watatu Ujinga,Umaskini na Malazi.

Mgombea uraisi kupitia chama hicho zanzibar Hammd Rashid amesisitiza uwepo wa amani katika kipindi hiki cha uchaguzi ili kuendelea kulinda amani Tanzania.

Vyama vilivyochukua fomu hadi kufikia ijumaa ni CHAUMA,CCM,TADEA na ADC







Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 comments:

Inaendeshwa na Blogger.

Wanaofuata

TANGAZO

My Blog List