Baadhi ya waananchi wa jiji la dar es salaam wameendelea kutoa maoni yao kuhusu viongozi mbalimbali wa vyama vya siasa waliojitokeza kuwania nafasi ya uraisi wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania.
Wakizungumza na star tv wananchi hao wamesema huu ni wakati wa watanzania kuwa makini na ahadi zinazotolewa na baadhi ya wagombea ambao wamekuwa wakitoa ahadi zisizotekelezeka hasa katika kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi.
Watanzania wanatarajia kufanya uchaguzi mkuu october mwaka huu huku wakitakiwa kutunza shahada zao za kupiga kura na wasikubali kurubuniwa kwa rushwa zitakazo wafanya kuchagua kiongozi asiye faa kwa jamii atakaye waongoza kwa kipindi cha miaka mitano.
VIKUNDI VYA WAKANDARASI WA NGUVU KAZI STAHIKI WATAKIWA KUCHANGAMKIA ZAIDI
YA BILIONI15 ZA TARURA DAR.
-
Meneja wa Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini TARURA Mkoa wa Dar es
Salaam Mha. Geofrey Mkinga amevitaka vikundi maalumu vya Wakandarasi wa
nguvu ka...
Saa 6 zilizopita
0 comments:
Chapisha Maoni